Ndaga Kyala Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Ndaga Kyala - Selementally
...
Wewe ni mfalme wangu
Amani yangu
Minakuita mungu ni wewe
Jabari langu
Mfariji wangu
Kwenye maisha yangu ni wewe
Ndagha kyala
Ndagha kyala aaah
Yeaah aah
Tufumile kumyetu pakhijolo
Kusilonda ndalama lekha itolo
Abharosi bhakutufipa khati ndilolo
Ndagha kyala utuketile uswe pakiro
Adhandindwan dha kumbwani bhosa kubhalek
Khangi bhari na matingo une nguvhaseka