Tanzanite - Konda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Tanzanite - Konda - Tanzanite
...
Halina ubani lakuvunda, kweli halina weeh
ule wigo wa chuma ukauvunja, ukan’acha eeh
dah! sina raha najuta kukabidhi penzi langu
n’lipona nimefubaa nasikitika
rafiki chozi langu mie
ohhuhh, leo hukumbuki fadhila za konda
ohhuhh, mbona nilimpenda toka nikiwa konda
ohhuhh, ma’na hakumbuki yote niliyotenda
ohhuhh, kasahau yote
kweli me konda wa daladala
ila ninamoyo wa kupenda, usinidharau mama
hata nami nilipenda kuwa na mihela
ila ya Mungu mengi yaliyopangwa mengi simasihara
(mama yoyoyoh)
ka mama yako yule aliuawa sana
n’kajituma, jitihada tele kwenu nilete huduma
kweli sina kwa kidogo kile, kilikidhi mama
ona tena kwa upendo ule, nikatekwa
na homa homa (nijue kama bado nakupenda)
sikudhani kutendwa japokuwa me ni konda
na homa homa (nijue kama bado nakupenda)
sikudhani kutendwa japokuwa me ni konda
konda mama, kweli me konda wa daladala
ila ninamoyo wa kupenda, usinidharau mama
hata nami nilipenda kuwa na mihela
ila ya Mungu mengi yaliyopangwa mengi simasihara
(mama yoyoyoh)
kweli me konda, ila nastahili kupendwa
mwanzo nilishindwa, ulijitolea kunipenda ajabu
kweli me konda, ila nastahili kupendwa
mwanzo nilishindwa, ulijitolea kunipenda ajabu
kweli me konda,nanana kunipenda iyo iyoo