Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2020

Lyrics

Wanisogeza - Sarah Magesa

...

Walidhani wanimaliza

kumbe wanimisogeza *2

Walidhani wanitupa shimoni

kumbe wanisogeza

walidhani sitoinuka tena

kumbe wanisogeza

oooooh

ngojeni niwaambie maneno haya mwenzenu

ngojeni niwasimulie maneno haya mwenzenu kulikua na wakati nilipita kwenye mazingira magumu

Kuna wakati Mimi nilipita kwenye wakati mgumu

kwa akili za kibinadamu akili zangu zilifika mwisho

kwa akili ya kibinadamu mawazo yangu yalifika mwisho

nikawatafuta ndugu wa damu ili waweze kunisaidia

nikawaambia matatizo yangu ili waweze kunisaidia

hawakuweza kunisaidia matokeo yake waliniumiza

nikatafuta wapendwa waweze kunishauri

nikaamua kuwaambia maneno ya moyo wangu

nikaamua kuwaambia jambo lililokuwa linanisumbua

nikaamua kuwaambia habari za maisha yangu

lakini wapendwa nililowaambia habari zangu

badala ya kunitia moyo wao waliniumiza

badala ya kunitia moyo wao walinisema vibaya

badala ya kunitia moyo walinitangaza vibaya sana eeeeh moyo wangu moyo wangu uliumia

walidhani wanimaliza kumbe wanisogeza *2

walidhani wanitupa shimoni kumbe wanisogeza

walidhani sitoinuka tena kumbe wanisogeza*2

walidhani sitotoka kwenye shida hio kumbe wanisogeza

walidhani sitotoka kwenye jaribu Hilo kumbe wanisogeza

walidhani sitoinuliwa kumbe wanisogeza

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status