Mimi Ni Nani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mimi Ni Nani - Healing Worship Team
...
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza
Wewe ni nani usimshangilie Bwana
Wewe ni nani usimshangilie Bwana
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza
Viumbe vyote ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu
Viumbe vyote ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Viumbe vyote ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Mimi ni nani nisimshangilie Bwana
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza
Viumbe vyote ni lazima vikuimbie
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Viumbe vyote ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Viumbe vyote ni lazima vikusifu
Mataifa yote yanapaswa kukuabudu Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Mwanadamu ni nani mbele zako Baba
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza
Hakuna mlima ambao yeye hawezi kuvunja
Hakuna tatizo ambalo yeye hawezi maliza