Nakula Kiapo Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Nakula Kiapo - Gold Boy
...
Its Gold Boy
Yeye
Keelayo monster
Wanasema pesa maua nami sina mama
Darling utanipendaa
Aah haing'ai nyota wala jua usiku kucha ndo napambana
Ndo sina utanipendaa
Iih kuna muda wanikera kweli ukiniambia mi masikini
Najuwa japo wasema kwa hasira
Manaa ahh jua lile litelemke litelemkee dia mama
(Kama jeshi penzi letu nakula kiapo)
Ohh mama maa jua lile litelemke telemke dia mama
(Kama jeshi penzi letu nakula kiapo)
Aaaiyaaa (ohh mama)
Haahaaa aaaahaaaa
Aaaaa i love you
Aaaaahaaaaaa
I love you (nakula kiapo ohh mama)
Aah aaaa mi sina haja yakukufunza wazazi walishamaliza
Ila nakukumbusha mapenzi yanahitaji subira
Karibu nusu ya moyo wangu kuna vyumba kwa ajili yakoo
Nakukabidhi wewe upangishe upendo na ndugu zako
Jua lile litelemke telemke telemke dia mama (kama jeshi penzi letu nakula kiapo)
Ohh mama jua lile litelemke telemke dia mama (kama jeshi penzi letu nakula kiapo)
Haahaaa aaaahaaaa
Aaaaa i love you
Aaaaahaaaaaa
I love you (nakula kiapo ohh mama)