Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Imeisha - Fid Q X Lord Eyez

...

We chali unaonekana una akili nyingi

Una miaka mingapi? "Mitano"

Enhe malizia huu msemo, mkono mtupu?

"Haulambwi"

Safi mbili mara tano inakuwa ngapi? "Kumi"

Baba wa taifa ni nani? "Nyerere"

Na kama weupe ungekuwa mali?

"Ubuyu usingepakwa rangi"

Kumi mara kumi ngapi? "Mia"

Ukilia chakula ndani ya chungu itakuwaje?

"Harusi yako itakuwa na mvua"

Unachokifanya wanafanya watu wengi

Lakini wewe unaonekana uko bora kuliko

wao

Hii inakuwa aje? "Inakuwa imeisha hivyo"

(Wanene)

Wanaonipigia niwape njia

Ndio wale walioamini sitoboi, mmepotea

Walioniona mlala hoi wakani-avoid

Kumbe sikukosea

Na wote wanaoniskia wanaenjoy

Na siku hizi nimeendelea hadi mama

ametulia

Niko so she is like boy boy

Endeleza mishe mishe tengeneza doh

Wezesha wasiojiweza ukitaka uwalishe

Wasilale fo fo

Zinduka chupa shuka kuwa bize usijishow

show

Tafuta hadi wenye husta usijifiche

Wanarosto hao sipiti chocho zao

Wanavinyongo kwa nini mi ndo moto wao

Nikiwapa mchongo naona ka niko na shobo

Na nikitema nondo, nasema ana usonjo

mwanao

Wabongo na wako na shombo zao na

mauongo

Longo kaacha mkongo na bao

Sijui kasongo, kigongwa ka mombo wa

kimombo

Waacha hongo waacha msondo, wacha

jongo

And I'm the illest negro alive

Watch me prove it

Jitose chugu la loss au ku coach mafundi

Boss na ujuzi so choose mapozi na uzushi

Ku-force makuzi haitoshi ka una jozi lukuki

I rap with a cause, rebel by birth Rambo

You can't step on my shoes I'm Airforce

babu

Wanaotest me wapuuzi wapokezi tush

wangu

Siwezi mess na wanafunzi ambao

wanashare ujuzi wangu

Wharap star, you know who you are

Wengine watakujudge unavyovaa

Mamangu huziba mdomo ili niepuke balaa

Ye mamake hamkatazi, coz she's the porn

star

Aii imeisha iyoo, imeisha iyoo

Imeisha iyoo

Aii imeisha iyoo, imeisha iyoo

[Lordeyez]

I'm the last man standing kutoka kitaa

changu

Last man standing kutoka kwa shule yangu

Natoka skuli nilikuwa mcat sikuwa mrat

Nice slice sleki ties sling

Ndo huyu nimeunda kwa mtaa

Walioona siendi mwenye nyumba

Wananishangaa

Afro misuko, kipara umetoga?

Enzi hizo ukisuka eti analiwa mboga

Jamani nimetoka mbali kulikuwaga hamna

uboga

Ilikuwa kama ndoto na leo ndo nayaishi

Nikitazama nyuma nimepita kibishi bishi

Tumepoteza wanetu nao walifaa waishi

Mipango ya Mungu Baba haitofaa kuleta

ubishi

Wapumzike kwa amani wanao bado

tunaishi

Hamna uhakika wa kesho ila bado tunaishi

Tunahangaika sana hakuna asiye na

mwalimu

Ninataka kubeba basi niyavae majukumu

Nguvu tunayo, nia tunayo

Basi uhakika bendera hio na ipepee

History tunazo, idea tunazo

Far bidi na Isaack hilo neno lipepee

Muipeperushe duniani je unajua jeje

Nalisha neno toka Africa, hamnaga siri

Hamnaga siri naweza fanana na hasidi

Nalisha neno toka jungle

Siku hizi naona mipango

Asimkufuru Mungu baadaye akazikwa kwa

malengo

Aii imeisha iyoo, imeisha iyo0

Imeisha iyoo

Aii imeisha iyoo, imeisha iyoo

Imeisha iyoo, imeisha iyoo

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status