Katika Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Katika - Ethic Entertainment
...
(Motif Di Don)
Chinja bata, koko askie wivu
Tembea na darkskin
Darkskin ajimade
Chinja bata, koko askie wivu, wivu
Alafu mwanaume mzima Instagram na mafilter
Unadai weave ama unadai hipster
Na siko sure ata kama jo unapata picha
Vako za kimanzi Shanikwa anadai feature ah
Si shida yangu bana hainihusu
Mbona niwagawe bana na ni nusu
Hii kikosi mbaya sana
Hatupendi hasara afadhali tukafungue na mabusu
Nimeanza sijamaliza
Fuaka pekee ndo mwangaza hapa kwa giza ah
Una swali sawa uliza
Kosa kubwa ni sidhani kama nitaskiza
Combination yaani Khali Motif bakize
Yaani burry body staminate
Ukitaka feature inadepend
Na mi sitakuficha imepanda bei
Cheki one time no, mi hudai more
Mi hudai biggy na si BIG G
Yaani haga jo, matakoo
Na naitaka tukikatika aaah
Ukitaka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Wacha urasta msupa uoshe vyombo
Geuza kiuno kwanza nikupe riba
riba zaka na kimbitho
mbitho za wa wangwana
nilipata nguna akaniita kimondio
sikufika Ronga juu niko ndogothio
kiasi kiasi pompe nikapata nango
wangu akanirushia murambe kwa mbosho
Cheki one time no, mi hudai more
Mi hudai biggy na si BIG G
Yaani haga jo, matakoo
Na naitaka tukikatika aaah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
[King Khali Jones]
Najua mbogi flani Eastlando
Makurutu waporaji
Breko huwa nduku na Konyagi (Iyee)
Na wakipiga nusu wako maji
Na wakipiga looku wako kazi
Watakuperemba mbosho mpaka za koti
Na ukizua watakunyenyua mpaka makofi
Hao ni mangoki ukiwacheki kaa na magoti
juu kama unacopy hepa juu zao ni jaba na njoti
walini expel before mimade semester
iyo Time Nilikuwa Arif ya kina Seska
Hobby ilikuwa nikukula ma bibi
washa moto tupoeze na chuma baridi
Nakaa rada safi nawasha ka nachapa wazi
sitaki paparrazi
ndo wasinichomee kandarasi
napiga marashi Nishikie mbathi mpaka kimathi
tukakate maji
tuvute bangi na kina Mwangi
Vako tu izo line niza kuchachisha
kusema ukweli sijawai guza ata shisha
anyways unaeza dhani nishakafunga
na juu ni Baba Yao nazitoka kirumba
Cheki one time no, mi hudai more
Mi hudai biggy na si BIG G
Yaani haga jo, matakoo
Na naitaka tukikatika aaah
Ukitaka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
Taka tukikatika aah
lyrics added by James Keter (cool kid1)