Nita’Die ft. Code Killer Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nita Die Ft. Code Killer - Mamcada Hadsome
...
Katoto Kapo Mikidi Mikidee,Kameniweza
Nacheza Nako Shigide Shigidee,Mixer Kunesa
Nakafata Night Baridi Baridee,Natetemeka
Nashika Kwenye Siri Za Msimuwee
Apenda Kunifanya Kaa Mtoto
Ninavyo Teka Teka Mpaka Naboa
Sijuwi Ameniroga Kwenye Moto
Mana Kila Nacho Taka Huwaga Natoa
Katoto Huwa Hakashuki Kanapanda
Gheto Nikikapiga Kamba
Haka Katoto Kana Ufundi Wakitanga
Nakakubali Haka Katoto Sio Kashamba
Ukiwa Mbali NITA'DIE Baby, Usiwe Tu Kimasilai Baby
Ukiwa Mbali NITA'DIE Baby,Usiwe Tu Kimasilai Baby
Yeah..!!
Anasura Ya Mama,Hilo Umbo Ndo Kihama
Ye Kimboko Nisha Fika,Mazima Na Sijakwama "Sijakwama"
Wajinga Wanabaki Tu Kubishana,Leo Wako Wapi Waliosema Tutaachana...Yeah!
Mkunaji Kapata Pele,Chuma Kwa Chuma Vikikutana Nikelele "Kelele,Hehe!" Sio Ndumba Sio Ndele Maana Wanafiki Kibao Wanaona Gere
Apenda Kunifanya Kaa Mtoto "Mtoto"
Ninavyo Teka Teka Mpaka Naboa
Sijuwi Ameniroga Kwenye Moto
Mana Kila Nacho Taka Huwaga Natoa
Katoto Huwa Hakashuki Kanapanda
Gheto Nikikapiga Kamba
Haka Katoto Kana Ufundi Wakitanga
Nakakubali Haka Katoto Sio Kashamba
Yeah!
It's Code Killer....Cada