Nang'aa ft. Bella Kombo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nang'aa ft. Bella Kombo - Miriam Lukindo
...
difficult but not impossible
ooh nananeee
ooh nananeee
eeeh ieeee
there's no reason to be silent
siwezi kuwa sorry for love
hii ni season ya kusema ulotenda for me
coz I have been blessed with u
Nipo high ninafly Kama tai
najidai Everytime eee
Sina wasi hii nafasi ni zawadi from badge no kufeli
no way
yoh my freedom upendo wako uko kwangu
umenifanya naimba
navimba
Sina njaa me nakula nashiba
kwa baraka zako nang'aa
iwe dhoruba msiba na shida
kwa baraka zako nang'aa
ooh nang'aa
ooh nang'aa
kwa baraka zako nang'aa
oyoo oyoyoo
oyoo oyoyoo
my love for u is real
upendo wako umeniganda
umenishika umenipamba aah yeee
kamwe siwezi nyamaza
nitaimba nitatamba
I gat big hopes
I gat big God inside me
mshindi wa Vita
asiyeshindwa asilani
amenifanyia amani
kanipandisha thamani mimi ni wa juu
yakale yote ya zamani wala siyatamani
coz am new
ahahaaa
Sina shaka na kesho
ulipo niwepo niende nawe
we ni zaidi ya mshiko
unadouble una
unatriple ur blesses on me
we ni mwanga na giza
haliwezi nitisha coz
ur always with me
wewe hunifariji
na kunipa zaidi
ya nnachostahili
kwa barako nang'aa
umevunja laana mikosi
mkate sikosi
kwa baraka zako nang'aa
eeh umefungua milango vifungo
kwa baraka zako nang'aa
ooh nang'aa
ooh nang'aa
kwa baraka zako nang'aa
I am never ever lose my faith in you(oyo oyoyoo my love for you is real)
upendo wako umenijaza
upendo wako umeniganda
umenishika umenipamba aaah ayeee
kwamwe siwezi nyamaza
nitaimba nitatamba ayeee