Yaishe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Yaishe - Seline
...
Heeeriii
mmmh...
Mmmh, Si uliapa kwa Mola
Utabaki na mimi
Iwe kwa pikipiki DalaDala hutonishusha njiani
mwanzo mapenzi, mapenzi nimejifunza kwako
Ukanitia simanzi simanzi na kunipa mateso
kama kuku mgeni ukanifunga kamba
na Uongo ukanipanga
Kwa maneno matamu chumbani Ukanipanga
pembeni unajigamba
eti mie kinganganizi sina mapenzi Ulitaka nikupendeje
Ushaninyima usingizi kutoa machozi
Ulitaka mimi niwe je
yaishe wewe kaka
nimechoka kusujudia
mapenzi ya mashaka
nitapata pa kutulia
yaishe we papa
nimechoka kuvumilia
mapenzi ya mashaka
japo bado nakuzimia
........
Unakosa heshima vitu unavofanya Unanidharau
unanichanganya kama fungwa nyanya
nami nitakusahau
umekuwa sikuitwi sikuiitwi
kila dimbwi unatumbukia
ata chembe urithiki
ukionacho unakinyapia
eti mie kinganganizi sina mapenzi Ulitaka nikupendeje
Ushaninyima usingizi kutoa machozi
Ulitaka mimi niwe je
yaishe wewe kaka
nimechoka kusujudia
mapenzi ya mashaka
nitapata pa kutulia
yaishe we papa
nimechoka kuvumilia
mapenzi ya mashaka
japo bado nakuzimia
nikishikwa na upendo
basi liwe ni joto
napata mchecheto
kila niwazapo
napigwa na upendo
basi liwe ni joto
napata mchecheto
kila niwazapo
yaishe wewe kaka
nimechoka kusujudia
mapenzi ya mashaka
nitapata pa kutulia
yaishe we papa
nimechoka kuvumilia
mapenzi ya mashaka
japo bado nakuzimia
Aaaah....