Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2018

Lyrics

Vijana Tuache Mihadarati - STIVO SIMPLE BOY

...

Intro:

Ahaa, Stivo Simpo boy

Main Kibra production

Vijana tuache mihadarati

Ndio manake, tega masikio

Ndio manake, twende kazi


Verse 1:


Vijana tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati


Vijanaa tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati


Unapata vijanaa wameketiketi tu

wanavuta mihadarati hawajali

Wanapoteza wakati hawana habari


Ukivuta mihadarati inaharibu akili

Inaharibu mpaka mwili

wametulituli wamebaki jobless

Kushoto na kulia manzee wanalia

Hakuna kazi, wapate kazi

waishi vizuri, waishi maisha mazuri


mambo iwe poa yaani iwe safi

Bila wasiwasi


chorus:


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati


Verse 2:


Ukivuta mihadarati itaharibu buruwein

Utafeel very pain

Ikiingia kwenye vein

My friend muache mihadarati

museme Yesu weekend

Mambo iwe poa yaani iwe bambam

Ukivuta mihadarati hakuna kitu umegain

Stand up, never fall again

No pain again

mambo iwe shwari yaani iwe goodi goodi


Chorus:


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati


Verse 3:


Tufanye gube, tuangamize mihadarati

Tuwe na amani tusipoteze wakati

Naketi chini nadondokwa na machozi

Akina Hamisi, akina jona akina Lucy

Akina Mercy wote wamefariki

Manzee tumewamiss

Juu juu tu ya mihadarati

Moyoni mwangu Nina, machungu

This kitefutefu nahisi kizunguzungu

Vijanaa wamesepa kwa mwangaza

Wameingia kwenye giza

mapenzi kiholela

Hawana ata haya wanafanya vitu mbaya

Zenye hazina maana

Wazazi wao wanalialia tu eti dunia mbaya

Kumbe watoto wao ndio wabaya

Nabaki mdomo wazi nani alaumiwe

Watoto au wazazi

Kama una jibu simama utupee jibu


Chorus:


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati


Verse 4:


Mimi stivo Simpo boy nasema

Nahisi uchungu

Nikiona dada

Nikiona kaka

Nikiona mama

Nikiona babaa


Mpaka vijanaa wameathirika tu

Na madawa za kulevya

Mungu wa rehema wape neema

Wapate kusimama watimize ndoto Yao

wawe juu juu yaani wawe malow

Waseme Asanti yaani Ero kama I

Omwana wa mkwano


chorus:


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati


Vijanaa tuache mihadarati

nasemaa tuache mihadarati

Vi vijanaa tuache mihadarati

Nasemaa tuache mihadarati


Finisher:


Yeaaah hahaa

Vijanaa, si lazima tutumie mihadarati

ama vipii

Huyu ni boy wenu Stivo Simpo boy

Ama vipii,ndio manake

Simpo boy, ha ha

Made in Kibra production ha

Ndio manake

Am oout!


Lyrics by FesBi254

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status