Giga Gaga Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Giga Gaga - Timam
...
Huyu kijana wa mtaa,makoro na mbagaa.
Uliona nini kwa huyu kijana wa mairungi.....,muguka!
Ikifika ni story ya manguna,waliniita mswati.
Sikucheza ithaa....
Sasa naleta habari njema kwa mtaa.
Kumbe unaweza badilisha mtu kama mm,rui wa mtaa...
Umenishangaza.., kaniokoa umahuru nikatia zii...
Sifa ni kwako..........
Umenishangaza.... umeniwacha giga
gaga yaweeeh..... we niwa wanga...
Kumbe unawewza badilisha mtu kama mm,umuoneshe njia umtoe kwa ngori.
Kumbe unaweza badilisha mtu kama mm umpe familia na unoneshe pori. ×2
chorus