Sina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Sina - Rommy Maferrai
...
Verse
Mmh !!
eeiye !!
aah!! Uuh!! Aah!
Asubuh kumepambazuka
Jua nalo lishachomoza Aaah!!
ah!
Sina budi
Nipange Foreni nipate eeh!!
Liziki yangu Mkate wa Siku nipate eeh!!
Oooh!!! ..Chozi langu
Oooh!!!..Mollah wangu uuh ×2
Chorus
Oh! Sina
Mie
Oh!..Sina ×2
Mie
Oh!!..Sina ah!!
Verse
Natembea tete
Naomba Unitete
Kuna Muda nalia
Mungu Baba Saidia
Matatizo na chuki Faraja uhuhuh!!..
Nikiamini ih.!ihi!.ih..!!
Wanadamu kwa Chuki Wamezidi
Ouh!! Mmh!! aah!!
Ila bado na Amini
We ndo mollah We wapekee
Yani na Amini
Yeye Pekee
Hata wakisema maneno ovyoo
Mi napambana wenda kesho
ataniona