Tunafanyaje Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Tunafanyaje - So-Lo
...
Sometimes naona kama napoteza time,
Kukesha studio kuimba na kuandika lines
Wanasema siku hizi mziki unalipa, right!
Sasa mbona mi bado mkwanja sijashika, why?
Nawaza sana mpaka kichwa kinawaka moto,
Vipi nitafika nikifa sina mtoto
Mistari mikali naandika mkono wa kushoto
Kumbuka kusali shukrani Allah kwa ndoto, yeah
Sasa tutafanyaje?
Nauliza sasa tutafanyaje iyee
Kama nafanya mziki kwenye game
Muda ukifika huwezi niweka pembeni
Yeah
Naenda taratibu, naficha aibu,
Kichwani maswali mengi na sina majibu,
Mi sina pesa nina nguvu na heshima tu,
Hali si shwari mpaka nikifika juu
Bado sijakata tamaa, sipotezi masaa,
Rafiki yangu shabiki mnafiki atanikataa,
Nina mizuka hatari, nataka fika mbali,
Realest shit I ever wrote
Bado sijakata tamaa, sipotezi masaa,
Rafiki yangu shabiki mnafiki atanikataa,
Nina mizuka ya hatari, nataka fika mbali,
Realest shit I ever wrote, take your time.
Maana elimu pekee haisaidii
Maisha ya halisi sio maarifa ya jamii
Kwa wivu wa maendeleo hakuna kama mi
Hili game wanachezea nimekuja simba
Shit
Ooh yeah yeah
Naenda taratibu, nipate majibu
Vicheche wanapiga vizinga bila aibu
Wanajua nikishika mic siachii
Kikubwa pumzi tu ingawa pesa sipati,
Yeah, Inshaallah
Mradi Mungu yupo kesho ntashinda balaa
Kwa hiyo sio shida
Bila muziki ningekuwa mwizi ningekuwa jela,
Waliosema ntafeli leo wananiomba jero,
Whooo, siku ni mpya tabu palepale
Rangi za ngozi tofauti damu saresare,
Wanaojifanya washkaji masnitch ndio walewale,
My finger kwenye trigger tuh tuh tuh Nigga die,
Sasa tutafanyaje?
Nauliza sasa tutafanyaje iyee
Kama nafanya mziki kwenye game
Muda ukifika huwezi niweka pembeni
Yeah
Naenda taratibu, naficha aibu,
Kichwani maswali mengi na sina majibu,
Mi sina pesa nina nguvu na heshima tu,
Hali si shwari mpaka nikifika juu
Bado sijakata tamaa, sipotezi masaa,
Rafiki yangu shabiki mnafiki atanikataa,
Nina mizuka hatari, nataka fika mbali,
Realest shit I ever wrote
Bado sijakata tamaa, sipotezi masaa,
Rafiki yangu shabiki mnafiki atanikataa,
Nina mizuka ya hatari, nataka fika mbali,
Realest shit I ever wrote, take your time