Quarantei Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Quarantei - ETHIC
...
Mii hukata makali ee naongeza na bale
ka nina maganji ee juu niko quarantine
Quara quarantine quara quarantine quara quarantine quara quarantine
Ee wuhan kulikuwanga na corona
Busaa tukaisunda kwa mogoka
Dunda tutacheza tu na distance
Dunda tukacheza tu na distance
Yee hutoboa kamevuta coro
Ni humochoa kamedunga polo
Buda ng'oa poto utatoka ndung'u
Kumdondoa takudunga chungu
Mii hukata makali ee naongeza na bale
ka nina maganji ee juu niko quarantine
Quara quarantine quara quarantine quara quarantine quara quarantine
Ah wengi wanakutaka
Nakutaka bro wangu anakutaka
Maarif hadi bro wako anakutaka
Unaeza pata hadi babako yu akutaka
Na sasa niko apa naomba namba
Sina hata beer hadi za kamba
Za gwanda ulishaniganga
Tugeuzane baba na mama
Sanitizer
Sanitizer
Mii hukata makali ee naongeza na bale
ka nina maganji ee juu niko quarantine
Quara quarantine quara quarantine quara quarantine quara quarantine
Ndakupikianga fare natumanga
Alafu magizani juwa ndakumanga
Msupa wa kiwanga cheki amebebanga
Si kidimanga hawezi cupernganga
Baro ikiwaka mandisi hadi gaga
Before kujipanga nteke kwa dimanga
Mapenzi ni ya ulaya wa area ni malaya
Mapenzi ni ya ulaya wa area ni malaya
Mii hukata makali ee naongeza na bale
ka nina maganji ee juu niko quarantine
Quara quarantine quara quarantine quara quarantine quara quarantine
Sani sanitizer buy sanitizer
Sanitizer sanitizer buy sanitaizer
Sanitizer