Nimekubali Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nimekubali - Ibraah
...
kapu limeshajaa imepitiliza mauzi yamezidi..moyo wangu upo mbali nawe
soko la karafuu umeuza dagaa leo ule utamu umeugawia kijiji unanipa donda la roho why nsipagawe
mungu apendi kufahamu natambua lipi jema na baya
usinizuge kwa tabasamu huku na una lako moyoni
nami nshazoea mila kikwetu kusema sema ni roho mbaya
ningalikua na uwezo mwanzo ningekuficha mfukoni
ulinidanganya kumbikumbi nilale bila chandarua,,kumbe mbu unang'ata
si ulikung'uta mavumbi nlipoomba nyingi dua ,,ukaniondolea mashaka
mapenz hayalazimishwi..hauko ridhaa na mm nenda. ila nakuombea ukaishi maisha mema ...
pia siwez na silazimishi labda sina thamani wenda kuondoka kwako kwang mungu akaleta neema
NIMEKUBALI!! MIMI
japo ni maumivu ila
NIMEKUBALI MIMI
japo hutoki kwa akil yang unaizunguka
NIMEKUBALI MIMI
nimekubaliana nawee
NIMEKUBALI MIMI
nimekubaliana na we