Jaka Roho Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Jaka Roho - Nyemo Soa
...
Kapipo..
I wanna see you dancing, mamacita, margarita
Mkuna kalipata Pele, mmh
Nina makali ya kuchinja, haujaniita nimeitika
Taratibu nyondenyonde aiyee
Na vicheche vyote nimeviacha, na viporo vyote vimechacha, nimevuja kwako we ndo pakacha
oh na na nana
Na vicheche vyote nimeviacha, na viporo vyote vimechacha, nimevuja kwako we ndo pakacha
oh na na nana
Jaka roho jaka roho, jaka roho jaka roho
Jaka roho jaka roho ukiniacha ntaumia
Jaka roho jaka roho, jaka roho jaka roho
Jaka roho jaka roho ukiniacha ntaumia
(aah, dance nipige gitaa, ........)
Mh mh, kama kupenda mama, ni uhai basi acha nisuke
nawe ndo langu chanuo, una haki unichane uniauke
ntazibeba na lawama, mbona shwari waniokote
Dunia ingesimama binadamu wabaya washuke
Kama chungu ningesema mapema kwa nini nteseke?? eeehh