Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2020

Lyrics

Usinipangie - Jacan

...

Beat intro......


Kimambo on the beat...


wazazi walitaka niwe msomi, wakiamini kazi ni ofisini.

wife anataka niwe baba bora, nikichelewa kurudi ni msala.

wakati nipo kwenye mishe za hela, anahisi nadanga na navaa madela

Tungi kiasi usinipangie, matumizi kiasi najua mie.

Eti nimwendo kasi niwapunguzie, maneno kiasi msinijazie

Maswali mengi huwa sijibu mie

Mipango mingi hainihusu mie.

Hoja za msingi pelekeni bungeni,

akili nyingi pelekeni shuleni,

Mawazo mengi msiniwazie mimi

Vidole vingi onyesheni mbinguni.


*chorus*

Wasinipangie.

Wasinihofie

Wasinichukie

Nafanya navyotaka mie. ×2



verse ii


Nigaz wanapanga panga sanaa.

Mamanzi wanachonga chonga sana

Nimefanya kipi juzi jana

Kwangu issue sio issue sana

Nikikukwaza am sorry sana

Kujikweza sijuagi bhana

Kujipendekeza utangoja sana

Kujiongeza kawaida sana

Kila kitu wanataka kucomment..

nikifanya eti nifanye vipi,

hata kutoka eti nitoke na yupi

Hata kuvaa eti nivae vipi..?

Usinijudge please, usinigasi

Usinilike pia sio kesi

Maisha yako less tupeane nafasi

Yanini kushare mpaka mambo binafsi.

Hoja za msingi pelekeni bungeni,

akili nyingi pelekeni shuleni,

Mawazo mengi msiniwazie mimi

Vidole vingi onyesheni mbinguni.



*chorus*

Wasinipangie.

Wasinihofie

Wasinichukie

Nafanya navyotaka mie. ×3


beat outro.....

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status