Subira Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Subira - Asagwile
...
moyo wangu kua na subira×2
kuwa na subira aiyayayaya kuwa na subira
kuwa na subira
habari habari za sahizi moyo
ninakuusalimia rafiki moyo
umeshindaje ooh moyo
najua una mengi ya kusema nami yei eeh
OK OK
umeumizwa lakini umetulia moyo
umetendwa lakini umevumilia moyo
kweli we ni wa ajabu sana aki moyo
wakikuuju upaswi gombana wee moyo
waakati unakuja subiri ,mungu ataleta tumaini
na wala usiogope amani yako ipo mikononi mwa bwana moyo moyo moyoo eh
moyo wangu kuwa na subira×2
kuwa na subiraa aiyayaya kuwa na subira
kuwa na subira
ninaacho...kupendea moyo hekima ulo nayo
lakini tulia tulia moyooo
acha roho mtakatifu atengeneze aaah
palipo na mabonde asawazishe ooho
fahamu zako na akili zako ataziongoza yeei
umeumizwa lakini umetulia moyo
umetendwa lakini umevumilia moyo
kweli we ni wa ajabu sana rafiki moyo
wakikuudhi upaswi gombana wee moyo
moyo wangu kuwa na subira×2
kuwa na subira aiyayaya kuwa na subira
kuwa na subira
..............
utafanikiwa moyo ,utakuja kushinda moyo×3