Chali Stinji Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Chali Stinji - Pizo Dizo Genge Queen
...
***********CHALI STINJI**************
Hii ngoma ni kali......
(instrumentals)
Chali stinji×6
Acha kuwa chali stinji.
Mwezi moja nakujua
Nishakutambua.
Hupenda kuniona niko Smart kila saa
Hata hunikumbusha, high heels vaa
AkaFloss vile ana manzi wa perf .
Hanipeleki salon manze hata kinyozi
Ye hukuwa mgumu
Kwa ganji hatoboki
Mtaani ona kukopakopa madeni
Kulipa mteka
Na si ata kulewa?
Hapendi hepi, doh zake huenda wapi?
Tabia zimechapa
Mwisho wa mwezi si hukosana
Akishalipwaaaaa, *mteja
Na nikikatiwaaaa, *anateta
Wewe,,, ata mandazi surwa huwezi kuniBuyia
MaPromise Kibao za kunichochea.
Kudaiwa blanda,
Teli haunanga.
Kwani unachengwa.
***************CHORUS******************
Mkono glue
Mkono gum
Mkono sticky
Chali stinji.
Mkono glue
Mkono gum
Mkono sticky
Chali stingy
*Weeeeeewe
Chali stingy.
*Weeeeeewe
Chali stingy.
*Weeeeeewe
Chali stingy.
Acha kuwa chali stingy.
...................................................................
Job unayo, bodyguard wa Prezo
Unalipwa smart lakini una mchezo.
Miaka 45 unaishi na wazazi?
We hukaa chizi.
HuweziBuy kiatu?
Baby, baby Utaanza kunitoanisha na kuDrive crazy unanisanya ata kredo.
*Kwenda
Ni pesa zangu ulipenda
Kujiskia asali na Motorola 113.
Jeans,,mpararo alimBuyia akiwa 18
Apart from uchoyo mjamaa Ana vituko
We ni kombamwiko
Sifa tu Kibao na hunanga hata Mbao
Rent hulipi,
Ye Huishi vipi?
Madeni kila kona,
Hapiti mtaani
Labda kanisani
*UshaChosha watu na kuombaomba
Akijua kunanoma kando anasonga ..
........................CHORUS.............................
Mkono glue
Mkono gum
Mkono sticky
Chali stingy
Mkono glue
Mkono gum
Mkono sticky
Chali stingy
*Weeeeewe Chali stingy
*Weeeeeewe Chali Stingy
*Weeeeeeewe Chali Stingy
Acha kuwa chali stingy
...........................Interlude..........................
Anapenda za watu.
Na hamwezi ona zake.
Anapenda za watu
Na hamwezi ona zake
Ni mkono birika
Huwezi kula zake.
Ni mkono birika
Huwezi kula zake.
..........................CHORUS...........................
Mkono glue×2
Mkono gum×2
Mkono sticky×2
Chali stingy×2
*Weeeeewe Chali stingy
*Weeeeeewe Chali Stingy
*Weeeeeeewe Chali Stingy
Wacha kuwa chali Stingy
(Eeeeeeee)
Unataka nikunge fiti
Niende saloon
Nikuwe mPretty
Na huwezi Gharamia
Itabaki umechangia
Manze atakaMia
*Weeee
.......................CONCLUSION......................
Siunajua ni nani
PizoDizzo
Malkia Wa Rap
East Africa
(Hahahaha)
..............Finish....................