Sina Raha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sina Raha - Sam Wa Ukweli
...
Mmmmmh aaaah
Mmmmh
Kila siku mimi naumia na mawazo Wapi ntapata mke mwema maishani Wa kunifuta machozi
Nikasahau vile nilipotendwa zamani Naona kama ngekewa ah
Mtoto mzuri kuwa nami maishani
Ninachomwambia ananielewa
Nampenda ananipenda sitomwacha silaani
Gari pesa sina
Ndio maana nakueleza mchumba We wa gari na nyumba ama pesa ndio uchumba
Bora unieleze mchumba
Gari pesa sina ndio maana nakueleza mchumba
We wa gari na nyumba ama pesa ndio uchumba
Bora unieleze mchumba
Mi si mgeni wa mapenzi mwenzako Maumivu nayatambua
Nipe nikupe ndio ishara ya upendo
Haiwezekani we daily unanizingua
Mimi si mgeni wa mapenzi mwenzako
Maumivu nayatambua
Nipe nikupe ndio ishara ya upendo Haiwezekani we daily unanizingua
Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh(sema) Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua
We ni mgonjwa na unahitaji mtabibu Mimi ni daktari kila maradhi nitakutibu
We ni mbora kama tunda dhabibu Nikabidhi moyo halafu nijue wapi ntatibu
Au ndio uniamini
Unajua ukinipa ntakuchezea
Au ndio uniamini mama
Unajua ukinipa ntakuchezea Unaonekana mpango mzima kama unavyong'aa
Una mapenzi ya dhati ukajilavsisha Wenye magari na fedha wengi walishangaa
Ukawakana ukasepa bila jibu pokea Unasifika kiuzuri nyingi tabia njema Kiukali kiukweli mi siwezi mimi Ulinyanyua kinywa chako mwenyewe ukasema
Hakuna unayempenda zaidi ya mimi Unasifika kiuzuri nyingi tabia njema Kiukali kiukweli mi siwezi mimi Ulinyanyua kinywa chako mwenyewe ukasema
Hakuna unayempenda zaidi ya mimi Hakuna unayempenda zaidi ya mimi Iweje unanizingua aah mama
Iweje unanizingua
Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh(sema) Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua
Wewe tu mbona unanizingua
Sam Wa Ukweli
Ingekuwapo umelema aah
Motion Records saka Dawa ya mapenzi