Maswali Ya Polisi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Maswali Ya Polisi - DNA
...
una maswali mengi Kwani we Ni polisi x4
Sema msupa
naitwa Peter
uko Facebook
uko tweeter
umeokoka
uko na sister
unapenda sembe ama pizza
uko na maswali mengi Kwani we Ni polisi x2
aki pole
umeboeka
kwani umejam
basi cheka
kwani nanuka mdomo Sema
kwani hutaki stori zangu tena
uko na maswali mengi Kwani we Ni polisi x2
una maswali mengi Kwani we Ni polisi x4
aii Buda
itakuwaje
siku mingi
umekuwaje
umechapa
hauna kazi
uko solo
hauna manzi
una maswali mengi Kwani we Ni polisi x2
basi pole
sina ubaya
by the way si una namba ya fire
Si unipe nimvutie waya
Si naskia ana dooh ile mbaya
una maswali mengi Kwani we Ni polisi x2we Ni karao
una maswali mengi Kwani we Ni polisi x4
Si wasee wako ju ya stori yaa
Si wasee wanataka mambo yaa
wako sawa
bora tukimake usiniulize vitu funny Ju
utakuwa na maswali mengi Kwani we Ni polisi
una maswali mengi Kwani we Ni polisi
aki nyinyi
siku gani
uko wapi
wacha mchezo
Sema Aki
dooh ngapi
walalala
una maswali mengi Kwani we Ni polisi x2
una maswali mengi Kwani we Ni polisi x4
Hii ngoma ni kaliii
Kali sana sana