Waambie ft. Mr. Paul & Mwana FA Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Waambie ft. Mr. Paul & Mwana FA - Divathebawse
...
ooh my darling (nananaaaanananananana)
dunia nzima maua
mwaga makopa (oiyeee oiyee)
nimekapandisha benzi
ili wasije shindana nawe
uko so amazing
siwez kufananisha na wale
ukweli ujui wengii
Kama atuwezi jidawa
tulipitia mengii na shetani apendi
wambie kina nilicho Zama akionekani
nani we peke ulonifanya nisiwatamani
wambie walipita ila kwako hawaoni ndani
wambie(ayayaya) wambie ayaya...
eti Nini eti wale wanasema mengi tu
eti Nini eti wale wanasema mengi tu
I'm in love with you Mama
onana Tena am in love with you
I'm in love with you baba
onana and am in love with you
we ni mzuri wa umbo na roho
ndo nacho kupendea
ukinificha ni mtondo goo
wanipa mazagazaga
eeh wanifanya mawazo Sina
waridhika nkiwa nacho au Sina
wamejaribu kukuwinda
ona vile umekomaa nami
wambie kina nilicho Zama sionekani
naniwe peke ulonifanya nisiwatamani
nambie many eeh niwepeke jua niwe nanana
eti Nini ati wale wanasema mengi tu
eti Nini eti wale wanasema mengi tu
I'm in love with you mama
onana Tena am in love with you
I'm in love with you baba
onana and am in love with you
yes mdogo mdogo usifanye zaidi utaniua
makopakopa yote yalioko chini ya jua
so innocent and pure mi tu ndo nae kujua
waache wajaji kwa vikuku na napini ya pua
sigusi juu sigusi chini naelea mama
nakupenda leo Zaidi ya nilivo penda Jana
na kesho Zaidi ya leo wanga wafahamu
ni ugonjwa nikizama shughuli nyingine Sina
wataachana tu uachane na nani sio Mimi
ni kama penzi ni binadamu kajini
sielewi viumbe wa mungu
wana roho mbaya za nini
mapenzi ya watu wengine
Yana wasumbua kwanini
eti Nini eti wale wanasema mengi tu
eti Nini eti wale wanasema mengi tu
I'm in love with you Mama
onana Tena am in love with you
I'm in love with you baba
onana and am in love with you
I'm in love with you
waache waongee mama aah iih
maneno hayazimi moto
maneno hayazimi Moto
let them talk aah eeeeh