Mahindi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Mahindi - Elani
...
uuu oooh niasante mama kwa uji asubuhi iiii nimewahi kuwahi eeeeh nasasa nikofiti Nairobi maisha ya kulima sio rahisi lakini najua niwengi wananingojea nifike
na
mahindi mahindi wananchi wanataka kula ugali nyumbani
mahindi mahindi RAIA wanataka unga ya ugali nyumbani
anasema natumia jiko nyumbani eeeeeh
eti kilo ya nyama yangoja nyumbani na ugali.
huku sisi tukokazi tukichelewa itakuwa tena kesi Nairobi jueni tuko njiani twaja na
mahindi mahindi wananchi wanataka kula ugali nyumbani
mahindi mahindi RAIA wanataka unga ya ugali nyumbani mahindi
njogooo hostess sembe pembe yote kazi ya mikono yetu yote kazi ya mikono yetu
njogoo hostess sembe pembe zote kazi ya mikono yetu yote kazi ya mikono yetu
mahindi mahindi wananchi wanataka kula ugali nyumbani
mahindi mahindi RAIA wanataka unga ya ugali nyumbani nyumbani nyumbani nyumbani ooooh yeh ooooh yeh