Lingala Ya Yesu Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Lingala Ya Yesu - Pitson
...
imekuwa muda sasa baba sujakuimbia lingala baba nimekuwa nikijishughulisha na marege na maraga mablues zikafanya mimi nikalala sasa nimeamka baba naimba lingala.Waliniambia lingala poa nifunge mshipi juu ya tumbo na nitoe kilingala eti ??? ,wakakwambia lingala poa niongee katikati ya wimbo eti.... "naongea sina kitu ya kusema"....Mimi nasema lingala ya yesu haikuwangi complicated ,(ukipewa ka guitar tu)*2
Unainiua mikono juu unasifu yesu tu lingala ya yesu wangu inaokoa
lingala ya yesu wangu inabariki ,lingala ya yesu wangu si complicated ,unasifu unasifu unasifu yesu tu
lingala ya yesu wangu inaokoa,lingala ya yesu wangu inabariki , lingala ya yesu wangu si complicated, unasifu , unasifu, unasifu yesu tu
(wasaani siku hizi wananifurahisha sana)sio lazima utoboe kila mahali ndio usaani usikike,sio lazima magari ya kifahari ndio video ishike ,sio lazima ujue kilingala ndio ? ufike
Hao madancer nguo zimewabana...?
Mimi nasema lingala ya yesu haikuwangi complicated ukipewa ka guitar tu 2
unainiua mikono juu unasifu yesu tu
lingala ya yesu wangu inaokoa lingala ya yesu wangu inabariki lingala ya yesu wangu si complicated unasifu unasifu unasifu yesu tu lingala ya yesu wangu inaokoa lingala ya yesu wangu inabariki lingala ya yesu wangu si complicated unasifu unasifu unasifu yesu tu
ooh unasifu wee unasifu wee unasifu wee yesu tu
unasifu unasifu unasifu yesu tu sio jina lako msanii unasifu yesu tu