Ibraah Harmonize dharau Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ibraah Harmonize dharau - 626Moon
...
Mhhhh
Mungu alonipa ukilema hawezi ninyima mwendoo!
Nasikubali imenibidi kulivua pendoo
Maana mwanzo nilidhani utabadilika!
Ofcouse hakuna aliekamilika
Masaa masiku miaka imekatika
Nachukia kujiona nikilalamika!
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuluko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani? XGoing out tonight?Going out tonight?
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nan?
Mi sipendi
manyanyasoo,masimangoo!
Manyanyaso siwezi siwezii?