Ni Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Ni Yesu - Julius Fanta
...
Yeye aliyenifanya, kuwa nilivyo
Ndie aliyeniambia, jitwike godoro lako uendee *2
Chorus
Ni Yesuu
Ni Yesu
Ni Yesu , aliyeniambia.
Alinikuta mtini, akesema shuka mtini
Leo nitakuwa nyumbani mwakoo
Hakujali cheo changu
Hakujali nafasi yangu bwana
Alinikuta mtini, akasema shuka mtini
Leo nitakuwa nyumbani mwakoo
Hakujali cheo changu
Hakujali nafasi yangu huyu Yesu
Akaingia kwangu, akala mezani kwangu
Na kukaa nyumbani kwangu
Akasema na mambo yangu
Kuhusu utajiri wangu
Kuhusu na mali zangu, ni nani ni naaniiii
Chorus
Ni miaka kumi na mbili , limenisumbua hili tatizo
Nimemaliza waganga , ninemaliza matabibu wengiii
Leo kapita Yesu, nikalia moyoni mwangu
Niguse vazi lake , ili niweze pona
Pindoo la vazi laake, likabadilii mwenendo wa maisha yangu
Akaniambia mwanangu , umesamehewa na umepona, ni nani ni naanii
Chorus
Ameniambia aaah
Mambo yote yanihusu