Kichwa Mbaya ft. Wakadinali Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Kichwa Mbaya ft. Wakadinali - Masterpiece King
...
usikuwe mslow,ka Kobe auna doh
ka Kobe tuko ma coke
Kurt kobens,sijuagi law
najua Atwoli
hichwa fichwa,na Kaa anapenda
Riyad Hitcher,usilete kichwa
hapa utarudi 6 feet bila
Kwa majina naitwa driller
ambia Rosy anikute villa
silaha huwanga panga
so msikuje na fila
adi mi hushindwa
si Stanley alihate
wa kwanza ni Hitler
body count ka mita sita
uski na mi sijai vunja bikra
mtachoma aje kama hauna rizla
si tukiwa sawa nyi mko bitter
baby shower alioshwa na mzinga
after makali mkakasirika
kwani mnataka aje
ku-lainishwa
(sss sss) ku-lainishwa
hii side imekam narrow mbali
alitoka nikakumbuka Stingo ingine
unakaa poa bila hizo mguu za umbu
unakaa poa bila hio shingo
alinitext am sorry,sikujua we ni kanono
alinitext am sorry,kuunguwa ngwaii
alinitext am sorry we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry,huh,we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry, we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry,huh,we ni kichwa mbaya
mi ni kijana black Benz
na nilikuwa backbench
nakuonanga back then
tukipiga ma bashments
handsome boy,sijui niji partent
Kaa ni story ya doh
mi ni rende ma packee
kusare ma Dre na na ngoja ma parcel
(mzigo)
hakuna witness,ju nikiifanya
yaani ni perfect
nikuje na wuzu,ka kuwa bubu fyata
pastor AKA fuzuu,Niko mashatta
hatubongi sana
leo ni paa paa paa
it's funny karibu nikuwe pastor
haturelay ka hu spinn
chocolate gyal anadaai brown skin
big beauty ka hun feel
Niko na lung Ghai slimm
hii side imekam narrow mbali
alitoka nikakumbuka Stingo ingine
unakaa poa bila hizo mguu za umbu
unakaa poa bila hio shingo
alinitext am sorry, sikujua we ni kanono
alinitext am sorry, kuunguwa ngwaii
alinitext am sorry,we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry,huh,we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry, we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry, huh,we ni kichwambaya
nakojoa Kwa kaburi ya enemy
nikiwa ma tiwa expect anything
double hivyo white na penny slit
karibu nishikwe na plain Eastleigh
kama ni mambo ya drill easy peeni slim
na kama ni mambo ya deal bei ni G(kg)
Somali ting Somali ting
anadai mi ni joker ye ni Harley Quinn
ka ukona ngwai unaweza washa mzing
si unajua lazima nijipin
sijui ni rub sijui ni sin
ogopa hio nyap kwanza Kam nitrim
sikujangi solo nakuanga na team
washa hio kolo mreng ni tint
si niwakumbushe mboka na sala
bangi ime dedii tumetoka matanga
huyo dem ni mchawi kama akona shanga
all my charji's huniitanga founder
ziushuka zingine zikipanda
naandika Kwa tenje adi inaisha charger
ndo mshike KC ati mnachanga
mkiwa area mambo ni shavaa
hii side imekam narrow mbali
alitoka nikakumbuka Stingo ingine
unakaa poa bila hizo mguu za umbu
unakaa poa bila hio shingo
alinitext am sorry, sikujua we ni kanono
alinitext am sorry, kuunguwa ngwaii
alinitext am sorry, we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry,huh,we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry, we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry,huh,we ni kichwa mbaya
hii side imekam narrow mbali
alitoka nikakumbuka Stingo ingine
unakaa poa bila hizo mguu za umbu
unakaa poa bila hio shingo
alinitext am sorry, sikujua we ni kanono
alinitext am sorry, kuunguwa ngwaii
alinitext am sorry, we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry,huh,we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry, we ni kichwa mbaya
alinitext am sorry,huh,we ni kichwa mbaya