69 Sitini Na Tisa Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2024
Lyrics
Aiiiiiiiiiiiiih aahh, Wa Bondo
buda ni ranfa
(Big afrique)
Hook
Ahhhh
Ye upenda sita na mi napenda tisa
Na nkifika keja nawika nmefika
Tayari ashajipa nazama inji tisa
Na vile kana wika utathani ame vamiwa na
Chorus
Sitini na tis sitini na tisa
Sitini na tis sitini na tisa
Sitini na tis sitini na tisa
Na vile kana wika utathani amevamiwa na x2
Verse 1(odi wabondo)
Odi wabondo na luku ni ya bongo
Maisha ni yolo kuparty na kudonjo
Shingo ni goro mawaya ni ya congo
Kanyaga beat utathani kanda bongo
Baby ni nurse anapenda waba ma shash
Apendi cash nikituma kitu na reverse
Anaji gas buda matembe tu na mash
Vile ana twerk amebeba tena na ni ras
Pendwa na madame
Pendwa na madame
Pendwa na madame
Pendwa na madame
Hook
Ye upenda sita na mi napenda tisa
Na nkifika keja nawika nmefika
Tayari ashajipa nazama inji tisa
Na vile kana wika utathani ame vamiwa na
Chorus
Sitini na tis sitini na tisa
Sitini na tis sitini na tisa
Sitini na tis sitini na tisa
Na vile kana wika utathani amevamiwa na x2
Verse 2(Ranfa)
Baby a tance anajua ni bastola
Appearance ni pullapingi kama baller
Na wasupeng Wana chizi venye nawa Toka
Wayodude kitu kama Kanye dondaa
Msupa alisema ananitaka na ananitaka raw
Mi umdunga head time Niko waba na mandoom
Mi hubonga doo kaa si bizz buda unani boo
Ranfa juu ya dozz kaa Domani nama ndom
Pendwa na madame
Pendwa na madame
Pendwa na madame
Pendwa na madame
Hook
Ye upenda sita na mi napenda tisa
Na nkifika keja nawika nmefika
Tayari ashajipa nazama inji tisa
Na vile kana wika utathani ame vamiwa na
Chorus
Sitini na tis sitini na tisa
Sitini na tis sitini na tisa
Sitini na tis sitini na tisa
Na vile kana wika utathani amevamiwa na x2