Poa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Poa - Sheby Medicine
...
Sheby medicine-Poa lyrics
Me kwangu hali tia maji ila haikatishi tamaa
Mi bado naishi kwa imani ipo siku utabadilika
Naona kama ndoto kugeuza maji kuwa moto
Umenifanya mtoto kuniliza mbele ya mashoga zako
Nakua muoga kuamini
Labda macho yangu mi ndo tatizo
Kile nachokiona siamini
Nahiai labda
Japo sili sikomi,kama mchawi ni yeye
We mweleze sikomi kumpenda yeye
Anipe moyo wake mi maana kauli nakosa
Urafiki na moyo wake
Mwenzangu kauli nakosa
Chorus
Asinchukulie poa
Naumia sana inaboa
Asinchukulie pooaaaaa
Naumia sana inaboa
Verse2
Dawa ya mua fundo
Yamekata imekua ngumu
Penzi lataka lindo
Kuliweka mbali na sumu
Naogopa urafiki na pombe
Mwenzake hivyo sijazoea
Kuzurura kwenye vilinge
Labda nyota isofanania
Nijiliwaze kwa nyimbo gani
Maana hata zangu nshajiimbia
Mwenzake hata bure sitamani
Yamenifika ya dunia
Pre-chorus
Japo sili sikomi
Kama mchawi ni yeye
We mweleze sikomi
Kumpenda yeye
Anipe moyo wake
Maana kauli nakosa
Urafiki na moyo wake
Mwenzenu kauli nakosa
Chorus
Asinichukulie poa
Naumia sana inaboa
Asinichukulie poa
Naumia sana inaboaaa
.........................................
Phenostyles