Siri Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Uhh uuh uhhh uuhh
Uuhh uuh uhhh uuhh
Kwangu we ni malaika
Upendo wako una mulika
Unang'ara sana wee
Unang'ara sana wee sana wee
Hata kiza kikifunika
Marashi yako yata sikika
Uwaridi wangu wee
Uwaridi wangu wee
Hata wakija wa Tanga
Viuno wajaze shanga
Nitakuchagua wewe
Nitakuchagua wee wangu wee
Hata wakija wa pemba
Kwa hina waka jiremba
Nitakuchagua wewe mamy love
We wangu we
Hakuna tena siri
Kweli umenikabiri
Wameahindwa tabiri
Wakashindwa bashiri
Tumebaki wawili
Waambie wasubiri
Walitega mbigiri ila mi nisha wasiri
Uuuhh uuhh uhhh uhhh
Uuuh uuhh uuhh uuhh
Mi napenda sauti yako
Ni kama wimbo iki sikika lafudhi yako
Unaniteka hisia
Nzuri tabia zako
Midhili ya tausi ukitembea maringo yako
Hakika we malikia
Ulivyo umbika duu
Chini mpaka juu
We mzuri tu
Yani so beautiful beautiful beautifull
Ndomana mi nasema
Hata wakija wa Tanga
Viuno wajaze shanga
Nitakuchagua wewe
Nitakuchagua wee wangu wee
Hata wakija wa pemba
Kwa hina waka jiremba
Nitakuchagua wewe mamy love
We wangu we
Hakuna tena siri
Kweli umenikabiri
Wameahindwa tabiri
Wakashindwa bashiri
Tumebaki wawili
Waambie wasubiri
Walitega mbigiri ila mi nisha wasiri
Nisha wasiri
Ila mi nishawasiri
Nisha wasiri
Hakuna tena siri
Hata waletwe watanga
waganguzi waka ganga
Nitakuchagua wewe
Nitakuchagua we wangu wee
Hata waletwe wapemba
Vijora kwa viremba
Nitakuchagua wewe mamy love
Wee wangu wee eehh