El Chapo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
INTRO
mwili mzima umejaa.....
Chapati kavu bila supuu
Nakumbuka tulilala gizani
Usiku kisa hela ya lukuu
CHORUS
Naweka million dollars kwenye duffel
Naishi kidon kama EL chapo
Tuliteseka n*gga tulihustle
Wanasemaga utakula kwa jasho
Wazazi wangu watajivunia
Wakishuhudia ninavyofanikiwa
Wanangu wote watakuwa maboss
Balance sheet hazijui loss
VERSE
Life la street limenipa wazimu
Sikuafford ata kwenda gym
Ata internet bando kwenye simu
Saivi Nina change gear kwenye Benz track
Missed calls nyingi kwenye simu
Najua wengi wananichukia
Maisha magumu nilipokulia
Bado nachase more
Yeah nachase more na najua siku nitapata
Hey
Nani alisema sipendwi
Hey
Saivi ninatrap kwenye band
Hey
Nikipata naspend
Mambo ni mengi
Bado nastay real japo marafiki wanafake
Nimiliki meli na private jet
Na wanangu wapunguze kubet
Nipate degree
Nijenge CV
Ex wangu anione kwenye TV
Kwenye ndoa yangu awe V.I.P
Mi na emtee
Au collabo khaligraph na nasty c
Nivae Dior Gucci Louis V
Niwe rap king kioo cha ma mc
Niwekeze hisa zangu simba sc
Kupata hela kwangu iwe guarantee
PRE CHORUS
Mwili mzima umejaa suguu
Chapati kavu bila supuu
Nakumbuka tulilala gizani usiku kisa hela ya luku
Tulipoteza tuliowapenda
Sitaki ata kuangalia calendar
Tumetokea kwenye umasikini
Tunapambana tusirudi chini
CHORUS
Naweka million dollars kwenye duffel
Naishi kidon kama EL chapo
Tuliteseka n*gga tulihustle
Wanasemaga utakula kwa jasho
Wazazi wangu watajivunia
Wakishuhudia ninavyofanikiwa
Wanangu wote watakuwa maboss
Balance sheet hazijui loss
VERSE
Gizani nawaka hizi cheni shingoni
Balenciaga patek mkononi
Shoutout kwa mama nilibebwa mgongoni
Maadui wengi kitaa
Ndomana kila saa
007 kiunoni
Double cup tunakunywa divai
Sigive a f*ck about serikali
Naweza kurap
Na naweza kutrap
Sijui battle rap
Utahitaji backup
Siogopi kusupp
Nakuja na strap
Nasubiri gap
Maana nipo sharp
Nicheki DM status WhatsApp
Like n*gga whatsup
You don't need no beef
You don't need no static
Nipo on top na kutoka sitaki
Kunipindua wapange kamati
Million tano navunja kabati
Hey
Sick flow
Sina pistal
YSL na Prada Valentino
Ukizingua kesho kuna funeral
Hizi rap conboi cannabino
Tulihustle tuliuza magendo
Na benizzo
Jack tarimo
Saivi nnapesa kama nimeshinda biko
Narudi na Benz nyumbani rikizo
PRE CHORUS
Mwili mzima umejaa suguu
Chapati kavu bila supuu
Nakumbuka tulilala gizani usiku kisa hela ya luku
Tulipoteza tuliowapenda
Sitaki ata kuangalia calendar
Tumetokea kwenye umasikini
Tunapambana tusirudi chini
CHORUS
Naweka million dollars kwenye duffel
Naishi kidon kama EL chapo
Tuliteseka n*gga tulihustle
Wanasemaga utakula kwa jasho
Wazazi wangu watajivunia
Wakishuhudia ninavyofanikiwa
Wanangu wote watakuwa maboss
Balance sheet hazijui loss
HEY
its HEYNRICHX its HEYNRICHX
Hey
Shoutout to Jacks
WANANICASH