Pole (feat. Ivan sound) Lyrics
- Genre:Zouglou
- Year of Release:2024
Lyrics
aaaa
mmm..
alizani
ati ananikomoa
akazani
tajinyongaa
tena
akanipiga chura teke
akajua amenikomoaa
komoaaa...aaa..aaa
mahaba ninayopata mimi
sijawahi yapata aa
huko nyuma
mapenzi ninayopewa mimi
sijawahi yaona
kwenye hii duniaa
aaa
mi napewa vitam
vitam
mi napewa sosoji mimi
na siwezi kumcheat
huyu mtoto wa mama mkwe jama
mi napewa vitam
vitam
mi napewa sosoji mimi
na siwezi kumcheat
huyu mtoto wa mama mkwe jama
pole
pole
pole
pole
Mgeyo..oo..ooo...
aaa
pole wewe
ahaaa
nilijitahidi kwakila hali
lakini we ukaniona boya
sasa nimempata anaenifaa
mambo yako poa
kunitafutia sababu..uuu
kuachana nae katu..uuu
uuuu...uuuuu
mi napewa vitam
vitam
mi napewa sosoji mimi
na siwezi kumcheat
huyu mtoto wa mama mkwe jama
mi napewa vitam
vitam
mi napewa sosoji mimi
na siwezi kumcheat
huyu mtoto wa mama mkwe jama
pole
pole
pole
pole
mi napewa vitam
vitam
mi napewa sosoji mimi
na siwezi kumcheat
huyu mtoto wa mama mkwe jama
mi napewa vitam
vitam
mi napewa sosoji mimi
na siwezi kumcheat
huyu mtoto wa mama mkwe jama
Ivan sound
Toto ya Mwasenga
uhuuuu
amama T baby
a G pe
a G pesa