champe Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
champe - Mang$tar
...
yeah
yeah yeah x12
yeah a lie
welcome to my podcast
I'm 10 toes 16 from 24 is 8
water knee high floor sea high shawty swim to my bait
whip so fine low profile that came with the hate
weed so fine shawty so fine budda hii ni check mate
hao wanaamini genie kwani lini mimi nikawa dini ya yesu
rao anaamini bbi iko siku ita mwingiza stato
aye mbogi yangu kama sio pesa wao hushinda Tu ghetto
Keja ni biggy kwa ploti hakuna space ya kugesha bezo
I'm on the highway my nigga nakuja kufanya deposit
madafu nakula as soon as hii ndege inaguza likoni
trip nayo ni mbili my nigga lazima nirudi jikoni
nitoke nizoze the city graffiti napiga tattoo ya czonic
they don't wanna see me win
buda hiyo hapana meme
wote walichujwa kwa team
ndio nika brandiwa mean
tangu last year to sasa my nigga ni mimi bado nina spin
hakuna cha shortcut bazenga lazima usweat nani
bado champe wa this season ni mimi again
hapo kwa table imagine you'll see me again
kando ya trophy ya saba ni mimi again
nikama hawajapata sambaba bazenga repeat it again
bado champe wa this season ni mimi again x 5
hapo kwa table imagine you'll see me again
kando ya trophy ya saba ni mimi again
nikama hawajapata sambamba bazenga repeat it again