Sina Neno ft. Mk Star Boy Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nikuibie Siri Siri nzito ya mapenzi
Mwezako naringa, natamba
Kwa penzi lake wewe
Si aliaumba mapenzi
Tupendane wenyewe wawili
Mi mwenyewe kitenzi
Sina neno mpenzi niamini
Nikuimbie furaha Minapenda furaha
Mwezako furaha Nikuimbie furaha
Minapenda furaha Mwezako furaha
Sina Shaka naye (sina shaka naye)
Maumivu yake niachie mimi
Sina wivu wa mapenzi
Mi kwake nitahenzi
Si aliaumba mapenzi
Tupendani wenyewe wawili
Mi mwenyewe kitenzi
Sina neno mpenzi niamini
Si aliaumba mapenzi
Tupendane wenyewe wawili
Mi mwenyewe kitenzi
Sina neno mpenzi niamini
Umeniteka roho we Nana wee
Just me and you baby mi nawewe
Penzi lako linanifanya niwe chizi
Sitakuacha kamwe forever
Nana nana nana nana wee wangu
Nana nana nana nana wee wangu
Si aliaumba mapenzi
Tupendane wenyewe wawili
Mi mwenyewe kitenzi
Sina neno mpenzi niamini
Nikuimbie furaha
Minapenda furaha
Mwezako furaha
Nikuimbie furaha
Minapenda furaha
Mwezako furaha