Usiku Na Mchana Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Usiku Na Mchana - Pryshon
...
Nikikuona,
na Yule mwingine,
Moyo wangu wazama,nabaki kushika tamaa
Ninapowaza,
tulivyopendana,
machozi yanijaa sana,cha kufanya mi Sina..
milima na mabonde, nimepanda,
nikikuomba msa-msamaha
sikutaraji utaniacha
najuta nilivyokutenda
penzi letu la?
twashinda tukizozana,aahh
ni kweli mnapendana,
Lakini bado nakuwaza, aahh
usiku na mchana, aahh
usiku na mchana, aahh
Nyumbani kwetu wote wakuulizia
nashindwa cha kusema,nanyamazia
Makosa yangu Mimi, Watanisema vipi
Ulivyonidhamini,ulinipenda kweli
Moyo wako kanigeuka
penzi lako kamalizika
nafasi zote ulizonipa
Mimi zote nikapuuza
Ooohhh, najuta
penzi letu la?
twashinda tukizozana,aahh
ni kweli mnapendana,
Lakini bado nakuwaza, aahh
usiku na mchana, aahh
usiku na mchana, aahh
Bado nakuwaza kila Siku baby
bado nakutaka kila time honey
Ingali nakupenda na si utani
swali ni kama utanikubali *2
yeah, utanikubali
yeah.. yeah
usiku na mchana, aahh
usiku na mchana, aahh