Ni Wewe Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Ni Wewe - Simba Evara
...
instruments
mhm anacheka
Chapo...
Mie koroma Nazi
siyatoi Matui...
usije ukanimix ukanchanganya
siwawezi Maadui
shahidi Mbigu Ardhi
huku Kucheat sijui
ikiwa utanimiss piga bhana
si unajua au Hujui
na sina Nia....
Nishaapa kwa MbalaMwezi...
na Uhuni wangu wote
Kukwacha ndo siwezi
Ulivyo My Dear Nahofia maana
wale watakuiba
Nataftia Gear kwenye njia mama
Miba ntakubeba
Na nishayaskia mambo ya kuachana
mbona Watajibeba
tuombe na Dua tuwe Baba, Mama
Shuma iruke shega
Aaaaaah
Ni wewe tu.....
ni wewe tu....
ni wewe tu....
nimekupenda mimi...
ni wewe tu....
ni wewe tu...
ni wewe tu...
nimekupenda mimi...
mmmmhhm.....
Penzi Muarobaini
Chungu kumeza Tiba ukizimua
Nikomaze na mimi
sije Wakakuteka Wakakuchukua
Mara Saba Sabiini
nikikosa Nisameh
Si Ya Kujua
we ni Wangu na mimi
wengine waweke mbali.....
oooh Vizabina...
Wafanye Wahame hii Dunia
Maji kina...
Sizami kwako Naogelea....
Na kwenye Moyo wako mi sihami
nifanye niwe Wako Maishani
na hizo Duh zako ziwe ndani
wasikuone Mwaya
na usiwe Pekeako uwe Nami
Changu kiwe Chako My Darling
wa kunizidi Wapo duniani
Wapotezee tu haya....
ulivyo My Dear Nahofia maana
wale Watakuiba ...
nataftia Gear kwenye njia mama
Miba ntakubeba ..
Na nishayaskia mambo ya kuachana
mbona Watajibeba ...
tuombe na Dua tuwe Baba, Mama
Chuma iruke shega
ni wewe tu...
ni wewe tu...
ni wewe tu...
nimekupenda mimi
ni wewe tu ...
ni wewe tu....
ni wewe tu ...
nimekupenda mimi