Asante Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2024
Lyrics
Nakupenda Bwana
We ni nguvu yangu
Rafiki wa karibu
We ni ngao yangu
Damu yako Yesu
Kaniweka huru
Deni umelipa
Nami nashukuru
Umeniokoa, niinua
Wewe pekee
Kanipa furaha
Na amani
Wewe pekee
Umenipenda bure
Asante
Umenipenda bure
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante
Moyo wangu wakutamani
Niwe nawe
Siku zangu zote
Nikae nawe
Zaidi na zaidi
Nikujue
Leo na milele
Leo na milele
Umeniokoa, niinua
Wewe pekee
Kanipa furaha
Na amani
Wewe pekee
Umenipenda bure
Asante
Umenipenda bure
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante
Na na na na na
Na na na na na na na
Na na na na na
Na na na na na na na
Umenipenda bure
Asante
Umenipenda bure
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante
Umenipenda bure
Asante
Umenipenda bure
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante
Umeuponya moyo wangu
Asante