MANINI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
MANINI - TMS GARVEY
...
Yoh!bro kwani rada?
Si juzi nilikuwa na nani? Nani??
Ule sista wa Kanini,
Nani?? eeeh..
Alinionyesha manini.....heeee wueh
Yoh,,Yoh,,
Cheki,ati,
(Juzi nilienda kwa nani,aliniitia nini na usiulize nini ni nini juu unajua ni nini,,
Alikuwa amevaa mini
Inaonyesha manini...
Huu mtoto maini kama jaba ya Eastleigh)×2
Nilifika kwake 3.
Alipika mandizi na mchele kidogo na supu pia ni kwa wingi.
Kwani huyu dem ni mkisii?
Najiuliza kwa akili juu kama mbaya ni mbaya jina kubwa sitambui.
Akadai amenimiss, ashaanza kunikiss mdogomdogo zero pressure nishaanza kumstrip.
Ako down on her knees.
zaina kwa tis alash!! ashaanza kududu de ting.
Kichwa tu kichwa tu ×6.
Wacha ibaki siri zile vitu tulidoo..
Back to chorus
Na doba ilikuwa inacheza majirani hawasikii
Vile manduru anapiga wangedhani ni mwiziii
Mimi nani sitambui juu kwa meza nikona fist nikona jina ya kujenga sitaki isemwe niko weak.
Ni hapo tu,,hapo tu ,
Miondoko za kitanda tu miguu iko huu
Nataka niende faster tu,,speed iko juu aky huyu nikiuwa Mungu baba nisamehe tu
Alah,,nani anabisha? staki mchezo nitapita na dirisha.
Ana mgeni alikuwa amealika kumbe ni landlordi, keja ndio hijalipwa, wueh
Chorus
Ni nani,aliniitia ni nini,,
Ni nani,, alinionyesha manini..