![I Claim It ft. Witty](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/11/e2b8f585569d4c4f95b7c56717f182e7_464_464.jpg)
I Claim It ft. Witty Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Yeah
Last year ilikuwa na maswara
Acha tujaribu tena this year
Huu mwaka ni wangu
Huu Mwaka Ni wa wa wa wa! Aki walahi
Huu mwaka ni wangu
Huu mwaka ni waaah aaaah
I manifest it
I claim it
I receive it
Aaaah!
Wangapi wamekuja
Wangapi wameemenda
Wangapi wamestay na hawajasurrender
Wangapi hulipwa kupitia calender
Energy mbaya back to the sender
Rule huwa moja me najipenda
Me najigas, mi najitenga
Nyinyi ni kubaki mimi ni kuenda
Mimi ni Kibaki na nyinyi ni Kwenda
Respect those people who gave you the tender
Watch your friends watakutenda
Me I'm the best, nyi proper ganda
Me niko West ka Kanye, blanda
I'm on my fours nakaza mkanda
Nyi mnakaza mkojo shandwa
Tupa hiyo ladder bado napanda
Ganji ndio hubonga, we utagandwa
Finished laying those pipes under
Now established like commander
Orders coming like am thunder
Skiza kabla ufanye blanda
Mistari napanga utadhani ni njama
Manoti napanga na siko kwa chama
Kuna rapa alinitoka mita ni kama
Hatoki kwa nini ni kama ni Karma
Na ni kama yangu ni maombi ya mama
Naketi kwa throne ka nimesimama
Nainama narudi juu tu nikama
hakuna hiyo gravity, nyi mkizama
Heat in here like this is summer
Samahani nikinail we hama
Escort check me ni Mr.Obama
Nimechange the script ndio muone hii drama
Huu mwaka ni wangu (huu mwaka ni wangu)
Huu mwaka ni wa wa wa wa (huu mwaka ni wa wa wa wa ahh)
Huu mwaka ni Wangu
Huu mwaka ni wangu
Huu mwaka ni
(I claim it, I claim it, I claim It)
This year is mine,
Props to the ninjas who make me shine
Bado wanataka kuprove a point
Me nawapass like y'all are joint
Nyi huniuliza mbona hutoki, mbona huchoki
All you guys will keep on talking
But like Johnny me I be walking
Kipchoge moves me I be jogging
Hii shughuli inafaa iendane na sura
Hasla wenyu alienda na kura
Kenya Kwanza mimi sihami hata
Nikuwe na azimio ya kugura
Last year ilikuwa maswara
This year me ni Simba nawagwara
The best here acha maswala
Napiga pamba napumua nang'ara
Mistari ni solid ka chipsy
Nawaeka on toes no tipsy
Naperform so bad no lip sync
I'm short but tall like Nipsey
Najigoat ka Messi
Christiano ndo Jezi
Wacheni ushenzi
Brief case kwa hii kesi
Naflow ka Zambezi
Rap ni kipenzi
Last year niliona shetani na macho
Go hard daily kwa kile utakacho
Pray so hard for kile kikulacho
Stay on ground kwa kila upitacho
Kile upatacho you give thanks
Nimeshika pacho huko kwa my panks
Big fish hapa na hii si prank
Best rapper and I'm being frank
Huu mwaka ni wangu (huu mwaka ni wangu)
Huu mwaka ni wangu (huu mwaka ni wa wa wa wa ahh)
Huu mwaka ni Wangu
Huu mwaka ni wangu
Huu mwaka ni
(I claim it, I claim it, I claim It)
I receive it, I perceive it and I know it will work for me
Yeah aaah
I've been walking, you've been judging and I know I deserve the pea...ace!
Yei yei ye
Huu mwaka ni wangu
Lazima nibonge na watu
Kuomoka lazima, nakaa tu uuuh
Mmh!
There's nothing you can do
Bragging cause I know I can do
I bless it, I bless it, no voodoo uuuh
I claim it