Baby Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Baby - Erivanny UB
...
Eryvany on the fly
Uyehiiii
Nahisi sehemu niliyopo nipo sahihi napendwa balaa pendwa balaa
Ehee!!!
Likitajwa jina lako nakusifu honey unanipa me raha nipa mi raha nakuthamini wangu mwa ndani hatawaseme mimi sitokuacha
Nakuamini wangu wa ndani hata waongee mimi sitokuacha
Baby umekaa umekaa kwenye moyo umekaa umekaa
Baby umekaa saaaaawa
Baby umekaa umekaa kwenye moyo umekaa umekaa
Baby umekaa ahaaaaya!!
Baby umenikaa
Baby umenifaa
Baby
(Instrumental)
Natamani hata dunia ibadilike nibaki na weweee
Mmmh
Hata usiku inyeshe mvua isitutishe nilale na wewe
Mmmh
Si umenipa ahadi ya upendo hatuto tenagana
Mmmh
Tusali tuzidishe dua za upendo hatuto tengana
Nakuthamini wangu mwa ndani
Hata waseme mimi sitokuacha
Nakuamini wangu wa ndani hata waroge mimi sitokuacha
Baby umekaa umekaa kwenye moyo umekaa umekaa
Baby umekaa saaaaawa
Baby umekaa umekaa kwenye moyo umekaa umekaa
Baby umekaa ahaaaaya!!
Baby umenikaa
Baby umenifaa
Baby
(Instrumental)
Duzu classic