Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2024

This song is not currently available in your region.

Lyrics

Anazingua - Xouh

...

Official lyrics for Anazingua by Xouh

Ooh ooooh

Sawa nina wapenzi wengi

Ila ninae mpenda ni yeye

Ninae mpenda ni yeye

Jamani mnielewe

Kichwa kina mambo mengi

Ila anae kiendesha ni yeye

Asije vimba bichwa

Msimwambieni nyie

Mwambieni jina langu Fulani

Abadanii kumuacha mi sidhani

Natamani ooh wamjue wazazii

Hivyo awe mpole huenda muda bado

Kama akiniacha...

Kama akiniacha atakua anazinguaa (oooh)

Anazinguaaa (ooh)

Akiniacha atakua anazinguaa

Kama Akiniacha atakua anazinguaa (oooh)

Anazingua (lolooo)

Akiniacha atakua anazinguaaa

Bila yeye siku haiishi

Kabla ya kula anamkula mpishi

Na kwake yeye napata ladha halisii

Vichipsi chipsi na vichocolate vya uzushi (aaaah aah)

Poleni wasiotupenda nawapa dole

Kaaeni kwa kutulia

Poleni wasiotupenda nawapa dole

Kaeni kwa kutulia

Mwambieni jina langu Fulani

Abadanii kumuacha mi sidhani

Natamani ooh wamjue wazazii

Hivyo awe mpole huenda muda bado

Kama akiniachaa

(Kama akiniacha)

Kama akiniacha atakua anazinguaa (oooh)

Anazinguaaa (ooh)

Akiniacha atakua anazinguaa

Kama Akiniacha

Kama Akiniacha atakua anazinguaa (oooh)

Anazingua (ooh)

Akiniacha atakua anazinguaaa

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status