Ujulikane ft. Alice Kimanzi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ujulikane ft. Alice Kimanzi - Karwirwa Laura
...
nisijione mkamilifu kwa nguvu zangu,nitaweza pekee yangu~u,nisiamini hekima yangu,juhudi zangu,nikutazamie munguu~u,watakaoniskia wakinishangilia~a,niwaelekeze kwako~o,watakaonifuaataa,nikikufuaataa,tuje kwako~o,na chochote kile kitaenda sawa,sio mimi weewe ujulikaanee na popote palee ntaenda baba siyo mimi weewe ujulikanee
(ujulikaanee,,ujulikane ewe yesu ujulikane x2)
kwa maneno yangu,tena matendo yangu,natamani weewe ujulikane,kama vile maji yafunikavyo bahari natamani weewe ujulikanee,
uokoe waliofungwa~a~a,~a,uponye waliozidiwa~a~a~a,uinue waliolemewa~a~a~a,hakuna usichokiweezaa babaa,
chochote kile kitaenda sawa,sio mimi weewe ujulikane,na popote paalee nitaendaa baba siyo miimi weewe ujulikane
(ujulikane,ujulikane ewe yesu ujulikane x2)
uokoe waliofungwa~a~a~a,uwaponye waliozidiwa zidiwa~a~a~a,uinue waliolemewa lemewaa,,baabaaa ujulikanee~eiye
(ujulikane,ujulikane ,ewe yeesu ujulikane x2)siyo mimi ila ni weewe..............
(ujulikane ujulikane ewe yesu ujulikane x3)
mienendo yangu ikupendeze duniani wakutambue...ewe yesu ujulikanee...u~ju~likanee