Mahali Pa Juu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mahali Pa Juu - Prosper Kenneth
...
Uumbaji wakusifu
Anga nalo latangaza
Jinsi zilivyo fadhili
Woou-oo
Umezijaribu nafsi
Kuyatambua makusudi
Kwalo nitapaza sauti
Bwana-a
Je, nikufananishe na nini?
Umeketi mahali pa juu
Juu sana Bwana
Je, nikufananishe na nini?
Na nini Bwana wangu?
Umeketi mahali pa juu
Juu sana Bwana
Je, nikufananishe na nini?
Umeketi mahali pa juu
Je, nikufananishe na nini?
Umeketi mahali pa juu
Je nikufananishe na nini?
Umeketi mahali pa Juu
Hakuna wakufanana nawe
Je ni kufananishe?
Naungana na malaika
Kulisifu jina lako
Naivua taji yangu
kukutukuza Mungu wangu
Naungana na malaika
Kulisifu jina lako
Naivua taji yangu
kukutukuza
Basi nalisema, yanifaa kuwa ndani yako
Ili niijue sababu ya, kuishi kwangu
Sawa na kusema, yanifaa kuwa ndani yako
Ili niyajue na kutenda, mapenzi yako
Je, nikufananishe na nini?
Umeketi mahali pa juu
Juu sana Bwana
Je, nikufananishe na nini?
Umeketi mahali pa juu
Tena mahali pa juu
Mahali pa juu
Hee-ie
We ni sababu ya uhai wangu
Wewe umeketi mahali pa juu
tena mahali pa juu
Oh mahali pa juu
Wewe ni sababu ya uhai wangu
wewe ndie ngome ya uzima wangu
Afya yangu
uhai wangu
nguvu zangu
Je nikufananishe na nini?
Umeketi mahali pa juu
tena mahali pa juu
Mahali pa Juu