Loading...

Download
  • Genre:Others
  • Year of Release:2023

Lyrics

Mzee Shaaban kwenye mic


Tell me something pretty girl

Do you really love me baby girl

Ooh oh baby girl

Do you really need me to be your man

 

Kwa penzi lako huzuniii nishaujua

Nipende vizuriii ninaumiaaa


Na mwenzako kabisa

Sionagi hata soni nikiwa na wewe

But when am around you never wanna show them

We belong together


Na mwenzako kabisa

Sionagi hata soni nikiwa na wewe,

But when am around you never wanna show them

We belong together

 

Nieleze ukweli nitakubali matokeo

Niambie ukweli nitakubali matokeo (do you really love me)

Nieleze ukweli nitakubali matokeo (Kama unanipenda)

Niambie ukweli nitakubali matokeo (ama unanicheza)


Ona tukiwa chumbani

Unaniitaga mpaka daddy

Yaani ile heshima umo ndani

Inazidi yaani na idadi


Lakini tukifika inje

Unaniitaga kwa jina langu

Kwanza sipendi tena vile

Unasemaga eti mi kaka yako


Tena unavo nidharau dharau

yakukujanga na mashoga zako

Natamanigi mi nikusahau sahau

Na nikuache uende zako mama


Na mwenzako kabisa

Sionagi hata soni nikiwa na wewe,

But when am around you never wanna show them

We belong together aaaah


Nieleze ukweli nitakubali matokeo

Niambie ukweli nitakubali matokeo

Nieleze ukweli nitakubali matokeo

(do you really love me)

(do you really love me)

(do you really love me)

Niambie ukweli nitakubali matokeo

 

Ukweli mama

Ukweli mama

Ukweli mama

Ukweli mama

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status