Dunda Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Lexvanny
Mh eh ah
Bebe You know that
Umeniroga
Kwako me sielewi chochote, sielewi chochote
Akili kisoda
Bichwa ndio boga
Tunaendana na wewe, siwezi achana na wewe
Kama umeniroga, umeniroga
kiwe kikubwa kidogo, ntala nawe
Ooh beibe ntala nawee
Gari Bodaboda, me sina uwoga
Iwe vyovyote beibe ntala nawe
Ntala nawee
Usinipe gonjwa la moyo
Ukanidunda dunda tuu (Uooh)
Ukawapa hao
Ukandunda dunda tu
Gonjwa la moyo
Ukanidunda dunda tuu (Uooh)
Ukawapa hao
Ukandundadunda tu
Mh nafasi uliyonipa moyoni
Bebe ndio inanipa kichwa we hujui tu
Ah usije niacha njiani
Mama nani atanikota jamani
Yale mateso ya kulialia
Mambo mengi nimepitia
Kwako sitamani yakarudia
Oooh maa
Kama umeniroga, umeniroga
kiwe kikubwa kidogo, ntala nawe
Ooh beibe ntala nawee
Gari Bodaboda, me sina uwoga
Iwe vyovyote beibe ntala nawe
Ntala nawee (Ntala nawee )
Usinipe gonjwa la moyo
Ukanidunda dunda tuu (Uooh)
Ukawapa hao
Ukandunda dunda tu (Mpenzi)
Gonjwa la moyo
Ukanidunda dunda tuu (Uooh)
Ukawapa hao
Ukandundadunda tu
Ukandundadunda tu
Ukandundadunda tu