Yawezekana (Possible) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Yote yawezekana na Bwana Mungu
Hakuna linalokushinda
Mshindi wa vyote
Hupungukiwi na lolote
Wewe ni mwenye nguvu
Yote yawezekana na Bwana Mungu
Kuponya magonjwa
Unaweza Bwana
Kutatua shida zetu
Inawezekana
To elevate from glory to glory
Only You can do it
With God
Nothing is too hard for Him oooh
Yote yawezekana na Bwana Mungu
Hakuna linalokushinda
Mshindi wa vyote
Hupungukiwi na lolote
Wewe ni mwenye nguvu
Yote yawezekana na Bwana Mungu
Kumpa tasa mtoto
Unaweza Bwana
Kubariki kizazi kwa kizazi
Unaweza Baba
To deliver from the yoke of sin
You are able oh God
I will put my trust in You
Jesus You never fail
Mmh
Yote yawezekana na Bwana Mungu
Hakuna linalokushinda
Mshindi wa vyote
Hupungukiwi na lolote
Wewe ni mwenye nguvu
Yote yawezekana na Bwana Mungu