Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Nimo gizani, mbele sioni

Ni mashakani, hofu moyoni

Neno Lako, Neno Lako

Neno Lako ni jibu

Niwe mjini, niwe shambani

Neno nyumbani huburudisha

Neno Lako, Neno Lako

Neno Lako, furaha


Wenye kiu hunyweshwa ni maji ya uzima

Wenye njaa wote hushibishwa


Neno Lako ni taa ya miguu yangu

Na mwangaza wa njia, wa njia zangu

Huniongoza katika haki na kweli

Neno Lako Mungu, Neno Lako tu

Neno Lako ni taa ya miguu yangu

Na mwangaza wa njia, wa njia zangu

Huniongoza katika haki na kweli

Neno Lako Mungu, Neno Lako tu

Lanitosha.


Moyoni mwangu nimeliweka

Hili neno la Mungu

Nisitende dhambi nikakukosea Bwana wangu

Neno Lako, Neno Lako

Neno Lako latosha


Kwa neno hili vitu vyote viliumbwa

Hata mwisho wa yote litadumu


Neno Lako ni taa ya miguu yangu

Na mwangaza wa njia, wa njia zangu

Huniongoza haki na kweli

Neno Lako Mungu, Neno Lako tu

Neno Lako ni taa ya miguu yangu

Na mwangaza wa njia, wa njia zangu

Neno Lako Neno Lako

Neno Lako latosha.


Uuuuuuhhhh

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status