Kesho Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Ooaah
Eeyeyeeh
Ooooh
Oooh
Nafumba macho
Najalibu sahau ninayopitia
Hayanishi mawazo
Japo ni vigumu ila navumilia
Simjui baba namjua mama
Hata yeye sipo naye
Naangaika nina tangatanga
Life gumu nikomaeeh
Japo vigumu kwamini nsemayo
Ila machozi umaanisha
Namwomba Mungu
Na sichoki ibada
Mana yeye ndo sahihi
Siku nzima napasha na vipolo
Nikikosa nalalaga
Nikipata nakabwa
Kwa chochoro
Miye wapi nilikoseagaah
Nafuta chozi kulia
Kushoto la ntililika
Najipa moyo niache kulia
Moyoni nauzunika
Sina ndugu miye yatima
Kitaa kwangu kimbilio
Jalala limenikuza mbaka sasa
Ashukuriwe aliye juu
Kesho
Kesho
Kesho
Kesho yangu sijui
Kesho
Kesho
Kesho
Kesho yangu sitambui
Naangaika naweweseka
Sipati kitu nabangaiza
Leo sina ila kesho siku
Nafumba macho nasali
Nikiamini kesho ni yangu
Mungu baba jalali
Nione nateswa shida zangu
Nami roho iliniuma
Nikiona watoto na mama zao
Natamani kusoma
Ila basi sio bahati aoooh
Sawa sijakataa
Japo maneno yanaumiza
Kwenye giza sina taa
Kichwani najiuliza
Nafuta chozi kulia
Kushoto lantililika
Najipa moyo niache kulia
Moyoni nauzunika
Sina ndugu miye yatima
Kitaa kwangu kimbilio
Jalala limenikuza mbaka sasa
Ashukuriwe aliye juu
Kesho
Kesho
Kesho
Kesho yangu sijui
Sijui mimi
Kesho
Kesho
Kesho
Kesho yangu sitambui
Sitambui mimi
Ayaah
Muuuh