KAA MBALI ft. Frida Amani Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Kaa mbali
Nimeshajipata sasa
Mbao nishaipiga msasa huoni chata
Kaa mbalii
Yangu mi naisaka hata mki wanga
Gang gang na nna fanya ibada
Kaa mbali
Chuki negative energy mliosema sifiki kwani hapa wapi
Kaa mbali
Kama hukuwepo mwanzo tukiball
Kaa mbali wala usitugas
Nowa days nilipe nisepe ndo slogan
Nakimbiza chance risk misele na gear za chopper
Meno dracular na lips homa
Methali nazipiga chini alieko juu mgoje minlienda na rollers
Tena kaa mbali miswataki
Wanajifanya gang na bili analipa mshati
Waadisie kwa story,wapigie mpaka fataki
Sawa ata nkivimba maana unene tu skuizi kuupata kazi
Oops im sorry ,mbona unasweat you worried
Im a new kid kwenye lorry speed 120 Papa honii
AT Boy na njozi, akatinafanya wanadozi
Mazishi nakuja na jokes
Call me hapo tu unaeza ni hold
Niko tofauti ndo maana huezi nicopy
Natembea na vest we unashiver nigga hold it
Ukinijua sana mzee itaboa
Kaa mbali alafu cheki tu nnavyotoboa
Ungekua hapa nlipo ungeona dunia kama doa
Amini kwamba sky sio limit na sio kila pete ndoa
Kaa mbali staki hio mizigo eazy come eazy go slogan iko simple
Anaenijua vizury ni siri na app ya better me
Jordan zaa aftaa huwezi step kwenye carpet on my limo
Married kwenye rap sipo single
AT whatspopping dushy made verses and im lit yo
Kaa mbali
Nimeshajipata sasa
Mbao nishaipiga msasa huoni chata
Kaa mbalii
Yangu mi naisaka hata mki wanga
Gang gang na nina fanya ibada
Kaa mbalii
Chuki negative energy mliosema sifiki kwani hapa wapi
Kaa mbalii
Kama hukuwepo mwanzo tukiball
Kaa mbali wala usitugas
Yeeah aah
They know im on time they can never do stop me im
Everything i want imma get it in my way
Chaining in my time they can never interrupt me
Imma get what i want and i get any day
Heeeey yeeh
Im on my time everyday yeeeh yeeeh
Mi paper nimechase toka young nkiwa A city
Now im running Dar city hizo ni blessing
Siri ni kukimbizana kwa akili nikogo race
Hasira kali mpaka spatikani cant you read it on my face eeye
Hauwezi ni drop ka hukunipandisha
Ukileta shobo nakublock na kucrop kwenye yangu maisha
Im living large life ile nilipray mungu anipe
Presha za juu zakuigiza life zinipite nisiwe feki kama sina nisiigize
Kaa mbalii
Nimeshajipata sasa
Mbao nishaipiga msasa huoni chata
Kaa mbalii
Yangu mi naisaka hata mki wanga
Gang gang na nna fanya ibada
Kaa mbalii
Chuki negative energy mliosema sifiki kwani hapa wapi
Kaa mbalii
Kama hukuwepo mwanzo tukiball
Kaa mbali wala usitugas